Siku ya Leo Africa tunasheherekea siku ya kuzaliwa amstaa wakubwa si tu nchini kwao Nigeria bali pia Afrika na dunia nzima ,si wengine bali ni Peter Okoye na Paul Okoye , kwa jina la usanii P SQUARE ,ambalo ni jina la group zima.