Sunday, November 3, 2013

EVENT: HAPPY BIRTHDAY TO KENDELL JENNER

  Siku ya leo ni siku ya kuzaliwa 'Upcoming MODEL' kendell jenner kutoka kwenye familia ya mastaa wakubwa huko U.S ,kardashian ,inayojiusisha na REALITY show inayoitwa 'KEEPING UP WITH THE KARDASHIANS' kwenye E! TV channel.
 Mwanadada anatimiza miaka 18 siku ya leo.

Tazama baadhi ya picha za KENDELL JENNER hapa chini.


akiwa na baby sissy wake KYLE JENNER





Akiwa na shemeji wake ,scott dissick na baby sissy wake kyle jenner