(BLOGGER)MY CLASS: STUDY TOUR @ SEACOM
PIC OF THE DAY: ISNE STUDENTS ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA AT SEACOM #STUDY TOUR
This is how our STUDY TOUR WENT ON @SEACOM
Baada ya kuzunguka kukawa na ka lecturin section kidogo ya MR.WATSON
Baada ya mda mrefu wa TOUR yetu ,tukaenda kujipoza kidogo na upepo mwanana wa Silver sand