Katika kutanua imaya ya kazi yake cha muziki ,Msanii wa miondoko ya BONGO FLAVOUR ,aliyetamba kwa nyimbo My number 1, DIAMOND PLATINUMZ aliibuka nchi Nigeria ili kupata 'kolabo' na wasanii tofauti wa nci hiyo kama Davido ....
Pia alipata kutembelea Studio za COKE...Video hapa chini inaonesha msanii Diamond akitumbuiza kibao cha P.square Tempation akishirikiana na HHP...
For more about DIAMOND PLATINUMZ CLICK HERE...