Tuesday, September 16, 2014

News : Mkali wa R&B ,AUGUST ALSINA AZIMIA Kwenye Stage...

Tukio Hili limetokea tu Ghafla wakati mkali huyu anaetokea pande za Obama kudondoka katika Jukwaa ndani ya Irving Plaza huko New York tarehe 15-sept(majuzi) ...


Mtandao Mkubwa wa habari Nchini Huko ,TMZ imeeleza kuwa Shuhuda waliokuwa kwenye show hiyo, walisema kuwa August alionekana amedondoka ghafla njee ya steji na kuwadondokea mashabiki ,na ghafla walinzi wa show hiyo kumkimbilia na kumtoa ....TAZAMA VIDEO HAPA...

For MORE about AUGUST CLICK HERE-->> August Alsina