Sunday, September 21, 2014

HOOT NEW VIDEO : Jennifer Lopez Feat. French Montana - I Luh Ya Papi


TOP 10 MOST CLASSY CELEBRITIES

10 : MIRANDA LAMBERT

9 : EMMA STONE

8 : ANNA KENDRICK

7 : SCARLETT JOHANSEN

6 : KERRY WASHINGTON

5 : JENNA DEWAN


4 : ALISON BRIE

3 : KATE HUDSON

2 : JESSICA BIEL

1 : SOFIA VERGARA





PHOTO : Picha Ya BEYONCE yazua Balaa mitandaoni

Mkali wa R&B pop ,Beyonce Knowles a.k.a Queen B, anashutumiwa na mashabiki wake kwenye mitandao kwa ku-photoshop picha yake ambayo alikuwa amepost katika page yake ya Tumblr akiwa amevaa Bikini....

Imeelezwa kwenye mtandao wa dairlymail kuwa inasemekana kwamba Beyonce amephotoshoop hiyo picha sehemu ya katikati ya Mapaja yake .


Picha hii ilipigwa wakati Beyonce akiwa kwenye shereke yake ya kutimiza miaka 33 kwenye Boti binafsi...na kuipost kwenye mtandao wake wa Tumblr...
Hizi ni Picha zenngine...


Tuesday, September 16, 2014

HOOT NEWS : P.DIDDY ANDONDOSHA $40 M Kwenye Mjengo Mpya...

Mkali wa Miondoko ya Hip Hop Sean Combs A.K.A P.DIDDY amedondosha Dola za Kimarekani Milioni 40 kwenye Hekalu moja kubwa huko Mjini LOs Angels Ambapo Mtandao wa TMZ umeeleza kuwa ndipo karibu na mahali alipofia Mfalme wa pop Michael Jackson...



Hekalu Hiyo ina Ukubwa wa futi 17,000 square pamoja na futi 3,000 square ambazo ni za moja wa mjengo wa kulala wageni...katika mjengo huu pia kuna massage room, beauty salon na Spa House  





Source; TMZ ,Latimes



HOOT NEW VIDEO : Tazama Professor Jay Ft Diamond Platnumz - Kipi Sijasikia


DOWNLOAD AUDIO ya Hii VIDEO ...BOFYA HAPA-->> CLICK

News : Mkali wa R&B ,AUGUST ALSINA AZIMIA Kwenye Stage...

Tukio Hili limetokea tu Ghafla wakati mkali huyu anaetokea pande za Obama kudondoka katika Jukwaa ndani ya Irving Plaza huko New York tarehe 15-sept(majuzi) ...


Mtandao Mkubwa wa habari Nchini Huko ,TMZ imeeleza kuwa Shuhuda waliokuwa kwenye show hiyo, walisema kuwa August alionekana amedondoka ghafla njee ya steji na kuwadondokea mashabiki ,na ghafla walinzi wa show hiyo kumkimbilia na kumtoa ....TAZAMA VIDEO HAPA...

For MORE about AUGUST CLICK HERE-->> August Alsina