NEW joint from RAIS WA MASHARABARO 'Bob JR' with the beautiful Miss VANESSA MDEE
Listen below!
Siku ya tarehe 21/10/2013, mwanamuziki, miondoko ya RAP, huko marekani , Kanye west ali-propose kwa mpenzi wake 'reality star' Kim kardashian. Ambako pia ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa mwanadada huyo...
Rapper huyo alikodi uwanja mmoja mjini san francisco 'AT&T' kwaajili ya zoezi hilo, na akatoa swali ambalo wanawake wengi wanaokuwa katika mapenzi wanapenda kuulizwa hasa kwa wapenzi wao,,'PLEEASE MARRY ME!!!'..wakiwa mbele ya ndugu na marafki wa mastaa hao wawili.
Sasa kim kardashian ana bonge la BLING!! kwenye kidole cha mkono wake wa kushoto, ambayo inagharama zaidi ya pete ya X-hubby wake Kris humphrey...
'15-carat diamond ring' ndiyo aliyovishwa Kim kardashian inayogharimu $5-MILLION, ambayo ni zaidi ya BILLION 7 za kitanzania.
Tazama video hapa chini ili kujua yaliojili siku hiyo..
Maisha yanataka nini tena...mwanamke unavishwa pete inayogharimu buggati zaidi ya mbili , au inayoweza kumpa maisha mtu akawa tajir mkubwa kibongobongo...
Hawa ni ndugu pamoja na marafki wa Kim kardshian katika picha ya pamoja.
Mtoto anafuraha kweliiiii....dah! kweli maisha ya ndoto jamaniiii...
MWAAAAHH !!! to haterssss....
Huu ndio uwanja alikodi KANYE...
PLEEASEEE!!.. MARRRRY MEEE....YEEESS!!
FIESTA ni moja kati ya show kubwa ambazo zinazotokea Tz ...kutoka mikoa tofauti nchini sasa ipo mjini Dar es salaam.
Ndani ya viwanja vya Leaders wasaani wa serengeti Fiesta kama Mnyama Diamond Platinumz ,Chege chigunda ,madee n.k...wakiongozwa na wasanii wakubwa kutoka nje ya nchi kama Davido, Mohombi, iyanya n.k , watafanya yao siku ya leo hapo leaders
Hii ndo stage kubwa ya fiesta inavotengenezwa...
“So be sure when you step, Step with care and great tact. And remember that life's A Great Balancing Act. And will you succeed? Yes! You will, indeed!"And from my Quote of the Day, thats what Actress, bosslady ,the Gergious Miss Wema sepetu,,,well has succeded by opening her own production company by the name 'ENDLESS FAME PRODUCTION'
Hivi ndivyo wasanii wote na masupastaa wa kibongo wanavyotakiwa kuchukua Mfano kwa mwanadada huyo na kujiendeleza na maisha yao...
from this Blog we wish u the better success...and the 'RISE ABOVE ALL'.
Angalia picha chini zinazoonyesha baadhi ya sehamu ya ofisi ya wema...
For about miss wema ,CLICK HERE...
Mtandao mkubwa wa habari za maceleb wa majuu 'TMZ' katika moja ya habari zao 'Who'd you Rather',wametoa shindano la ukubwa wa A$$(makalio) kati ta mama watoto wa rapper Kanye west 'Kim kardashian' na kati ya mmoja wa mastaa Anastazia ashley.
Kama utapenda kuVOTE ingia hapa--> TMZ
Fore more about Kim kardashian CLICK HERE...
New audio music from BONGO FLAVOUR artist "THE LEGEND" Dully sykes _Kabinti SpecialDowload/Listen below...
NAME :Omary shareef
nickname : Ommy Gold
NEXT TANZANIA TOP MODEL, from Tanzania dar es saalam
FACEBOOK: Ommykiz
Official LIL' WAYNE's Dedication 5 Mixtape...
Listen/Download below...
For more about Lil' wayne click Here...
Listen /Download THE XCLUSIV BET CYPHER from Kendrick Lamar...
Listen to new music audio from pusha T as one of new song from his album.